Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pata Memory cards 32GB, 64GB, 128GB, smart phones, Tablets etc. Kwa bei ya Jumla(wholesale price). Karibuni! NB:Pia tunakupa Card reader/Adapter Buree!!(Free) kwa kila memory card
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Kama una harusi, kitchen party, send off au hafla yoyote ile karibu Singo Garden.Ni ukumbi wenye mandhari nzuri sana na wenye kuvutia, ni mpya. Ni garden yenye mvuto kupita kiasi Jina la Ukumbi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hello pipo, i need a company that deals with graphic design and printing contact /whatssap on 0767328063, urgently hello anayehusika na kampuni ya graphic design and printing naomba nipigie...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Nauza Nadia bei uko vizuri, karibuni wateja nimejitahidi kuiapload imeshindikana. Atakayehitaji anipm namba yake nitumie picha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Haina haraka kivile, mwenye nacho tufanye biashara Maeneo ni ilazo, kisasa, yan kisizidi 5km toka town Kiwe kimepimwa i mean cha serikali. Niko serious Ofa yangu ndo hyo fixed. Tapeli usijisumbue...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kati ya hayo mawili kichwa cha habari kinavyosema nilikuwa nataka kuagiza je kuna haja ya mimi kulipa pre export inspection or Marine Insurance??naomba naomba waalam ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuwekewa madirisha aluminiu ni sh ngapi?je bora kuwekewa na wachina au wabongo?Naweza kupata contact?natanguliza asante
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Manuel Transmission, engine 1 zz , distance 58,000 km , imported from UK used 1 yr in Tanzania, available in Dar . Price 13.5m Serious buyer only cont 0657145555
0 Reactions
0 Replies
819 Views
nauza freezer 420,000 nnazo piece 2 kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Wadau mzigo huo hapo unauzwa 8.8m ila ni negotiable. Karbuni 0713806766
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gari pichani inauzwa bei maelewano 0717866628.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eneo kilipo ni Mapinduzi East,Barabara kuu ya kuelekea UDOM ukiwa unaiacha Makulu ni upande wa kushoto. Kiko karibu na chuo. Maji yapo kama mita sita kutoka kiwanja kilipo.Nguzo za umeme nazo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Nina uhitaji wa household design items na interior items ambazo zinapatikana kwa nchi za kiafrika tu. Ziwe zisiwe zinapatikana nchi za ulaya kuna mtu yupo nje anahitaji...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Habari zenu wanaJF; Hardtop T 172 CHT inauzwa bei MILION 18 ipo katika hali nzuri ... Picha below;
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ina vyumba zaidi ya 8,bei ni milioni mia na arobaini ina eneo la heka moja ipo nyuma ya Ms hotel kona ya Bwiru.tuwasiliane kwa 0788752672
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Habari zenu wana jukwaa, Kinahitajika kiwanja kizuri kilicho karibu na huduma za maji na umeme maeneo ya kitunda au kivule.Kisizidi milioni 5.Maelewano zaidi yapo kutegemea na mazingira Msada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, ebana natafuta fundi wa subaru hapa dar, kuna spares natafuta. kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana. asante
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mwenye kuhitaji viwanja vya ukubwa tofauti ani PM, eneo vilipo ni kingani karibu na mradi wa malaria hapa bagamoyo mjini. Vipo vya ukubwa tofauti
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini Wadau nna mahitaji ya kunua accesorie za computer mfano vioo vya laptop battery za laprop, foam cleaner, Mouse, Used computer na work station. Kwa Dar es salaam wapi ntapata wanauza...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Najitaji cover nzima ya laptop tajwa (pichani), imepasuka cover karibu yote ya chini na karibu na display, mwenye nazo au mwenye laptop tajwa iliyokufa, au anayejua wapi ntazipata hapa bongo anipm...
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Back
Top Bottom