Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Nauza friza ukubwa ni wa kati nzuri kwa biashara nipo Dar kibanda cha mkaa bei laki nne na nusu sababu ya kuuza nina shida ya pesa sana naomba anaeweza anipigie samahani picha sijaweka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samsung f tablet 10.0 mpya kama picha hapo Wakuu inbox anayetaka mzigo huo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta sana zile nemb kama za steps, zinakuwa zinangaa na branded.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji kununua mtungi wa gesi wa Oryx wa kilo 12...anayeuza ani pm na kunitafuta kwenye namba 0685-677585.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bei ni tsh 320,000 karibu.. call.. +255 713 920 135
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ONGEZA MWONEKANO WAKO KWA BIDHAA ZA KITANZANIA. -KWA SASA VINAPATIKANA. -NI VYA NGOZI UTATUMIA MPAKA UZEENI. -AGIZA UTALETEWA MPAKA ULIPO. -TUNASAFIRISHA NCHI ZIFUATAZO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ninatafuta raum namba kuanzia C (any model) au Escudo cylinder 4 milango 5 namba kuanzia B. Salio langu ni 5.0mil.
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Gari aina ya Toyota corsa inauzwa Tshs 2.5m for more details jus call 0713 234224
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Habari ya weekend wakuu? Yoyote anayejua sehemu zenye kuuza receiver ambazo zinazoonyesha station free bila malipo mfano kuna mtu kaniambia kuwa star life wanazo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Techno P5 inauzwa Tsh 100000 haina tatizo lolote na ina mwezi tu tangu inunuliwe. Napatikana Ubungo
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauza laini ya Tigo Pesa, kwa bei poa kabisa, nilikuwa natumia mwenye, kwa maelezo zaidi nitafute kwa Namba 0786777540, piga simu au tuma sms tunaweza chat kama upo serious
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Nauza mayai ya kenge. Wale wote wenye matatizo ya nguvu za kiume,mayai ya kenge ndio suluhisho pekee. Yai moja la kenge linauzwa tsh 20,000 za kitanzania. Unalichemsha na kula kile kiini...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Wakuu Naomba Msaada Wa Contact Za Hao Jamaa Nataka Nifanye Nao Biashara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalim wote, Nauza gari, ni PRADO T108 BEU,Nahitaji milioni 30 tu, pia mazungumzo yapo. Gari ipo katika hali nzuri na inatembea na haina tatizo lolote. Nimepata chuo UK, hela niliyonayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hamjambo wadau, Nahitaji kununua gunia 200 ya mahindi safi kwa bei safi kila baada ya siku 3. Bora zaidi ikiwa mahindi yako Arusha au karibu na Arusha. If you are able to cover my demand kindly...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Xxxxxxx
0 Reactions
12 Replies
2K Views
IPhone yangu ilianguka ikazima na sihitaji kupeleka kwa fundi coz nachukua 5s,kama kuna Fundi anaehitaji vifaa vya hyo simu anitafute,nipo Shy Town 071838863
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Brand new s5 with full accesories pata kwa 670k check m.. 0718033066
0 Reactions
0 Replies
712 Views
nauza galaxy s2 kw sh 150000.inafany kazi vizur tu hausing ndo imechunik kw pemben kam ukitumia kava ni ngum kujua.kw mawasiliano pig 0652868486
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vitanda vinauzwa , vimetumika vilikuwa vikitumiwa kwenye lodge hapo kabla. Vipo size tofauti kuanzia 6*6 mpaka 3*6 Ni full kitanda na godoro lake. Vinapatikana Dar es Salaam, Temeke Bei maelewano...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom