Nina milango ya nyumba ambayo kwa ajili ya nyumba au office, inaitwa fire door, nimenunua hapa UK, ipo zanzibar, idadi yake 8
Kama upo interesting, bei 250,000 kila mmoja, ni mp niwachie number...
Gari Limetumika miezi 6 tu tokea liliponunuliwa. Limelipiwa kila kitu ikiwemo motor vehicle lisence pamoja na insurance. Bei ya hgari hili ni TZS 18,000,000/= Kwa atakaye hitaji gari hili...
Msaada ndugu zangu,
Gari yangu nilikua siitumii muda sasa na mazingira nayofanyia kazi ni kambi so waweza tumia hata miaka kumi bila kulipia maadam usifike town ukakumbana na trafic,road licence...
Habari wana jamvi wenzangu,
Nilikua naomba kujua gharama ya vifaa/kifaa cha kuhisi moshi katika nyumba na kutoa taarifa katika king'ora na wapi naweza kuvipata kwa hapa Mwanza.
Asante
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.
2. Iwe haijwahi kupata...
Tunahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia Ngerengere kuja Dar es salaam, Kiwe mkabala na Reli (Barabara ya Treni), Kiwanja kiwe na hati au offer ya kiwanja, Kiwe na ukubwa wa kuanzia Mita 300.
Please...
Heshima kwenu wakuu,naomba anayefahamu bei ya mizani inayotumika madukani/sokoni kwa ajili ya kupimia unga,mchele,sukari n.k anifahamishe inauzwaje na hapa Dar inapatikana wapi?
written off Nissan x-trail sport for sale, model No. JN1TANT, 2002 , manual transmission ,not damaged from wind screen to rear door, location Kawe Round about DSM. price Negotiable. interested? PM
Eneo linauzwa Bagamoyo maeneo ya ukuni karibu na chuo cha SLADS lina ukubwa wa heka moja lipo karibu na umeme na mita 400 toka baraba ya Bagamoyo ni zuri kwa kujenga hostel, lodge au makazi...
Nimefikia hotel iliyopo Kariakoo, am bored natafuta kiwanja cha kuvinjali bar/club iliyochanganya yenye misosi na mabebs. Najua leo jtatu, hivyo vitu ni nadra bt I want to have fun for some few...
nyumba na kiwanja hicho haviko mbali na barabara kuu ya kwenda itobo! eneo lipo sehemu nzuri na ya kuridhisha kabisa
bei ni 22 milion
kwa mawasiliano zaidi nicheki whatsapp 0764014285...
Nauza pikipiki mbili bei nzuri, moja 900,000 nyingine 700,000 tu, maongezi halo zipo kwenye hali nzuri, maongezi yapo. Nimeshindwa kuweka picha hapa kama upo interested.
Nichek kwa 0713415537...
Mimi ni kijana nilieajiriwa katika duka la spea, lakin muajiri wangu kaamuwa kuachsna na biashara ya spea na ameamuwa kufanya biashara ya magari kutoka japani, hivo nimepewa mgao wangu (5 milion)...
habari zenu waungwana,mie ni fundi wa umeme wa majumbani,nafanya kazi zifuatazo
-kufanya wiring katika nyumba
-narekebisha hitilafu/shoti katika nyumba
-nadizaini michoro ya kiumeme kwa ajili...
Brand
HP
Series
PROBOOK
Model
4540S
Nauza laptop tajwa hapo juu(used bado iko vizuri almost new) yenye spec. kama ifuatavyo.
Processor
Processor Brand
Intel
Processor
Core i3
Variant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.