Nauza milango ya nyumba au office

Nauza milango ya nyumba au office

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
530
Reaction score
183
Nina milango ya nyumba ambayo kwa ajili ya nyumba au office, inaitwa fire door, nimenunua hapa UK, ipo zanzibar, idadi yake 8
Kama upo interesting, bei 250,000 kila mmoja, ni mp niwachie number yako, next week inshallah nikifika tz tutawasiliana. 1435476886053.jpg Ni aina hii, size siwezi kujua.
 
Wasiliana na mimi 0714905403
Pia ipo milango mengine sample kama hii hapa chini bei kwa 450,000 kwa mmoja, haina frame.
Size urefu ft 6.9
Upana ft 2.9
 

Attachments

  • 1437983880100.jpg
    1437983880100.jpg
    19 KB · Views: 167
Back
Top Bottom