Wadau,
Samsung nayotumia inachagua sana chaja na hizi za kawaida ambazo fei ni nyingi inazibagua sana.
So mwenye chaja ya blackberry zile kubwa kubwa za zamani aniuzie.
Wakuu naitafuta hio SIM kwa bajeti ya tsh 750,000/= iwe original na accessories zote, hata kama imetumika kidogo Kama Mwezi Au miwili sio mbaya as long as haina scratch wala tatizo lolote...
Shamba linauzwa Chanika mwanzo mgumu lina ukubwa wa hekari nne na linafaa pia kwa makazi na gari inafika mpaka shambani bei ya kila hekari ni Tsh 1,300,000 maelewano pia yapo.
0714621548
HP 15-r006tu NoteBook PC... core i3 4th generation... ram 4gb and hdd 500gb..BRAND NEW PC
***** Price is 600k *****
For Pictures and business call or whatsapp #0714009817
Wakuu nahitaji hiyo kitu yenye uwezo mzuri wa kufanya kazi za Graphics Design n' Video Editing, ni duka lipi dar naweza kupata kwa bei nafuu either iwe mpya au used yenye hali nzuri?
Asante!
Newly constructed two and one bedroom apartment for rent in Mbezi Beach. Easily accessible to tarmac, 24 hrs security available. Two bedroom unity for only 650 USD and one bedroom unity only 450...
kiwanja kipo kinondo mashariki ni baada ya madale karibia na mabwe pande kiwanja ni 20×20 bei ni mil 2 ninashida ya haraka na pesa kama upo serious nichek 0716385824
Kwa yeyote anaehitaji "field" ya tour guide tuwasiliane >RUAHA GUIDING FIELD CENTRE AND TOURS SAFARIS>RUAHA NATIONAL PARK>0768052234/0755494719 rgfctourssafaris@outlook.com
An almost new fully furnished four bed room house (one master bed room), store, kitchen, spacious sitting room and a common toilet and bathroom is available for rent at Gangilonga prime area in...
Kama unahitaji frem ya kupangisha mwenge katibu na TRA zipo bei ni 300,000 kwa mwezi.. Frem zina ukubwa wa kutosha na ni sehemu nzur kwa biashara.. Nimeshindwa kuweka picha ila kama upo interested...
Nyumba inapangishwa jirani na Idiva Kihonda Morogoro
3 bedroom
Choo ndani
Sebule kubwa
Jiko
Maji muda wote
Uwanja mkubwa na usalama wa kutosha.
Kodi ni 200,000 tu kwa mwezi.
Haina udalalali...
Wandugu Salaam kwenu,
Nimepata dharula ya ghafla ambayo ili kuitatua inanilazimu kuuza Nyumba yangu moja ninayoendelea kuijenga.
Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja na nimeijenga mpaka kwenye...
SmartFundi Co Ltd
Je! Ungependa nyumba yako iwe katika usalama na kuepukana na suala la ufujaji wa umeme na shoti za mara kwa mara? Wasiliana na smartfundi kupata mafundi wenye ujuzi na mafunzo...
Nauza simu aina ya Redmi2, bei yake 270000
Spec zake.
Key Specs
Screen Size 4.70-inch
Resolution 720x1280 pixels
Storage 8GB
Processor 1.2 GHz
RAM 1GB
Rear Camera 8-megapixel
Front Camera...
Wana JF,
Ninahitaji Samsung galaxy S3 haraka sana, kesho asubuhi ya tar 30.07.2015 iwe katika good condition isiwe copy na isiwe na tatizo lolote kwenye operating system maana ukiniletea copy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.