Mizani bei gani?

Mizani bei gani?

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
3,227
Reaction score
1,104
Heshima kwenu wakuu,naomba anayefahamu bei ya mizani inayotumika madukani/sokoni kwa ajili ya kupimia unga,mchele,sukari n.k anifahamishe inauzwaje na hapa Dar inapatikana wapi?
 
Aisee ulifanikiwa kujua jibu la hili swali lako? Mimi mwenyewe nataka nijue bei yake na mahali ninapoweza kupata.
 
Nazani itakua na 130 000/ upatikanaji ni madukani, baadhi ya wilaya na mikoani kote unapata.
 
Heshima kwenu wakuu,naomba anayefahamu bei ya mizani inayotumika madukani/sokoni kwa ajili ya kupimia unga,mchele,sukari n.k anifahamishe inauzwaje na hapa Dar inapatikana wapi?

ni 50000-100000 inategemea na utakayopenda zipo sokono kariakoo groung floor
 
Back
Top Bottom