Nahitaji gari aina ya NOAH used hapa Tanzania

Mgoda simtwange

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
168
Reaction score
64
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.
2. Iwe haijwahi kupata ajali.
3. Dalali asihusike.
4. Isiwe na mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali
5. Iwe na vibali halali vya umiliki na hati za malipo au kodi anuai

kama Noah yako inakidhi vigezo hivyo na vingine vingi unaweza kuni PM kwa mazunguzo na maelewano zaidi.
Nina utalaamu na uzoefu wa kutosha kuhusu na mgari. Kwa hiyo kama unajua gari yako haikidhi vigezo tafadhali sana usijusumbue wala usinisumbue maana sitakuwa mteja wako na utaumbuka. Karibuni sana
 
Mi Nina Passo ya mwaka 2006. Imported from Japan. Registered with No D
 
nahitaji carina ti, iwe na namba c au D, bei isizidi 7.5m
 
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.
2. Iwe haijwahi kupata ajali.
3. Dalali asihusike.
4. Isiwe na mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali
5. Iwe na vibali halali vya umiliki na hati za malipo au kodi anuai

kama Noah yako inakidhi vigezo hivyo na vingine vingi unaweza kuni PM kwa mazunguzo na maelewano zaidi.
Nina utalaamu na uzoefu wa kutosha kuhusu na mgari. Kwa hiyo kama unajua gari yako haikidhi vigezo tafadhali sana usijusumbue wala usinisumbue maana sitakuwa mteja wako na utaumbuka. Karibuni sana

Nipm nikupe gari
 
Hizosifa mbona ziko show room zote why usiende huko..sikuhizi watu wanapeleka magariyao na yana namba unaangalia mwenyewe kuliko kukosana na mtu jf
 
Hili ni wazo zuri saana mkuu.
Maana vigezo vyote hivyo ni vya show rooms,kima cha chini awe na 12m
 
Mpwa alafu mtu anakuambia dalali asihusike a kumbe unakuta na yeye ni mtu kati....hahaha
Yaani kwa uzoefu wangu wa kuuza magari nakutana sana na style hizo ndomana now days si post sana magari ya kuuza chenga zimezidi
 
Hili ni wazo zuri saana mkuu.
Maana vigezo vyote hivyo ni vya show rooms,kima cha chini awe na 12m

Mkuu, huko Zanzibar, Harrier ya 2004 au 2005 naweza pata kwa shiling ngap? Ambayo ni imported kutoka japan?
 
Mpwa alafu mtu anakuambia dalali asihusike a kumbe unakuta na yeye ni mtu kati....hahaha
Yaani kwa uzoefu wangu wa kuuza magari nakutana sana na style hizo ndomana now days si post sana magari ya kuuza chenga zimezi

N shdaaa mpwaaa umeooonaaa eeh..
 
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.2. Iwe haijwahi kupata ajali.3. Dalali asihusike.4. Isiwe na mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali 5. Iwe na vibali halali vya umiliki na hati za malipo au kodi anuaikama Noah yako inakidhi vigezo hivyo na vingine vingi unaweza kuni PM kwa mazunguzo na maelewano zaidi.Nina utalaamu na uzoefu wa kutosha kuhusu na mgari. Kwa hiyo kama unajua gari yako haikidhi vigezo tafadhali sana usijusumbue wala usinisumbue maana sitakuwa mteja wako na utaumbuka. Karibuni sana
Umeeleweka vizuri sana. Purobulemu ni hilo ANGALIZO Lako namba 3.nikujuze tu, - UTASUBIRI SANA.
 
Yeye mwenyewe utakuta ni dalali tu...Ila kwa ushauri zaidi bora aende yard
 
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.
2. Iwe haijwahi kupata ajali.
3. Dalali asihusike.
4. Isiwe na mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali
5. Iwe na vibali halali vya umiliki na hati za malipo au kodi anuai

kama Noah yako inakidhi vigezo hivyo na vingine vingi unaweza kuni PM kwa mazunguzo na maelewano zaidi.
Nina utalaamu na uzoefu wa kutosha kuhusu na mgari. Kwa hiyo kama unajua gari yako haikidhi vigezo tafadhali sana usijusumbue wala usinisumbue maana sitakuwa mteja wako na utaumbuka. Karibuni sana
Nina noah nataka million 8 maongezi yapo yard nina gari 30 contact0712505039
 
Kwanza angejua kwamba wauzaji wa Magari humu karibia wooote ni watu wa kati ila wanajua wapi pa bei rahisi na namna ya kumbana mwenye gari ili bei upunguziwe.

Na ni bora kudili la dalali,maana dalali ndioa najua chochoro zoote za gari za bei rahisi na kwa taarifa yako,katika biashara ya Magari,hakuna mtu anaejua shida ya muuza gari na dharura zinazowakumbwa wamiliki wa magari mpaka kuamua kuuza zaidi ya dalali.
Dalali anajua nani anauza gari kwa kudaiwa na Bank,nani anauza gari kwa kulia ada,nani anauza gari kwa kodi ya nyumba,nani anauza gari kwa Ajili ya matibabu.
Sasa haya yote Dalali anajua,na ndio maana gari ya 20m unaweza kukuta ukanunua 12m,kwakuwa mtu ana dharura na pesa.
 
Kwanza angejua kwamba wauzaji wa Magari humu karibia wooote ni watu wa kati ila wanajua wapi pa bei rahisi na namna ya kumbana mwenye gari ili bei upunguziwe.

Na ni bora kudili la dalali,maana dalali ndioa najua chochoro zoote za gari za bei rahisi na kwa taarifa yako,katika biashara ya Magari,hakuna mtu anaejua shida ya muuza gari na dharura zinazowakumbwa wamiliki wa magari mpaka kuamua kuuza zaidi ya dalal
Dalali anajua nani anauza gari kwa kudaiwa na Bank,nani anauza gari kwa kulia ada,nani anauza gari kwa kodi ya nyumba,nani anauza gari kwa Ajili ya matibabu.
Sasa haya yote Dalali anajua,na ndio maana gari ya 20m unaweza kukuta ukanunua 12m,kwakuwa mtu ana dharura na pesa.

Ongea yote utakayo ila dalali haitajiki Na gari nzuri inayokidhi hayo masharti lazima ipatikane
 
Back
Top Bottom