Gharama ya "smoke detector"

Gharama ya "smoke detector"

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana jamvi wenzangu,

Nilikua naomba kujua gharama ya vifaa/kifaa cha kuhisi moshi katika nyumba na kutoa taarifa katika king'ora na wapi naweza kuvipata kwa hapa Mwanza.

Asante
 
Nenda kituo cha zimamoto kilicho karibu watakupa maelezo mengi sana kuhusu vifaa hivyo. Pia kutokana na kukua kwa technolojia kuna detector zinazotumia betri ambazo unaweza kuiweka sehemu na ikatoa alarm pindi moshi unapotokea bei zake ni nafuu sana kuliko ile mifumo ya kuunganisha (system) ya kiasili ambayo gharama ni kubwa
 
Back
Top Bottom