Nauza pikipiki bei nzuri

Nauza pikipiki bei nzuri

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Nauza pikipiki mbili bei nzuri, moja 900,000 nyingine 700,000 tu, maongezi halo zipo kwenye hali nzuri, maongezi yapo. Nimeshindwa kuweka picha hapa kama upo interested.

Nichek kwa 0713415537 nikutumie poa cha WhatsApp
 
Mkuu vp ukiuza kwa install. Uwe unalipwa kidogo kidogo kwa mda wa miez mitatu iv
 
Zilete hapa kijiweni kwetu Igoma kuna jamaa anahutaji moja
 
Mkuu kama mtu yupo serious niachek 0713415537 nitumie picha, AU aje kuziona hapa mwenge -TRA,, na imeongezeka nyingine ya 900,000 so zipo tatu na hali nzuri..
 
Nauza pikipiki mbili bei nzuri, moja 900,000 nyingine 700,000 tu, maongezi halo zipo kwenye hali nzuri, maongezi yapo. Nimeshindwa kuweka picha hapa kama upo interested.

Nichek kwa 0713415537 nikutumie poa cha WhatsApp

Mimi sipo interested… ila me nipo Dodoma… nitaipataje??????
 
Nauza pikipiki mbili bei nzuri, moja 900,000 nyingine 700,000 tu, maongezi halo zipo kwenye hali nzuri, maongezi yapo. Nimeshindwa kuweka picha hapa kama upo interested.

Nichek kwa 0713415537 nikutumie poa cha WhatsApp
Mkuu upo Soweto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom