Investaa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 916 Reaction score 932 Jul 30, 2015 #1 Bei 25000/= kwa anaitaji anichek kwenye namba hii 0755429928 nipo dodoma. Attachments lowassa.jpg 15.7 KB · Views: 501
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Jul 30, 2015 #2 Kwa tuliopo Dar gharama inabaki hiyo hiyo au inaongezeka kiasi gani?
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,105 Jul 30, 2015 #3 Vipi umepata ridhaa ya chama chake kipya ?
Investaa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 916 Reaction score 932 Jul 30, 2015 Thread starter #4 Kwa watu wa dar mtaongeza itakuwa 30000Tshs
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Jul 30, 2015 #5 Kuna jamaa wapo bukoba wanataka pc 10.ila bei umefanya kubwa sana Punguza niwape number yako
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Jul 30, 2015 #6 Safi kwa kutumia fursa
M makasanga Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 181 Reaction score 34 Jul 30, 2015 #7 Tunaitaji wabunifu ktk nchi bei kubwa hiyo wanaompenda ni wengi
Investaa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 916 Reaction score 932 Jul 30, 2015 Thread starter #8 Nipamoja na ushafirishaji kaka sio kubwa mbona
Investaa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 916 Reaction score 932 Jul 30, 2015 Thread starter #9 Kaka unapendekeza ive bei shil ngap?