SONGEAKWETU
Member
- Jul 13, 2015
- 18
- 13
Wandugu Salaam kwenu,
Nimepata dharula ya ghafla ambayo ili kuitatua inanilazimu kuuza Nyumba yangu moja ninayoendelea kuijenga.
Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja na nimeijenga mpaka kwenye Renter ya Ghorofa (Samahani nimeshindwa ku-attach picha Server imekataa ku-download) hivyo bado kuezeka na finishing nyingine.
Ina Vyumba vitano vya kulala na vyote vinajitegemea kwa Vyoo na Bafu za ndani.Pia kuna Choo na Bafu kwa ajili ya Public juu na chini. Kama kawaida, kuna Seating Room, Dinning, Kitchen, Pantry, Study Room na VIP Lounge.
Nyumba ina Hati halali kutoka Wizara ya Ardhi na ipo kwenye Eneo lenye ukubwa wa Square Meter 1103. Nyumba ipo Madale, Dar es Salaam.
Bei ni Ml.170 tu na maongezi kidogo yapo. Kwa muhitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0789 520 210.
Shukrani na Karibuni..