Natafuta chaja ya smartfone ya Blackberry

Natafuta chaja ya smartfone ya Blackberry

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,816
Wadau,

Samsung nayotumia inachagua sana chaja na hizi za kawaida ambazo fei ni nyingi inazibagua sana.

So mwenye chaja ya blackberry zile kubwa kubwa za zamani aniuzie.
 
I experienced the same problem but jaribu hta zile za tecno ukiipata iliyotoka na cm kwangu ndo ilikuwa muarobaini.
 
Mkuu mbona kujua original na feki kwa charger za samsung ni easy... Acha zile zenye usb na kichwa.. Tafuta ile ya moja kwa moja.. Ni ndefu sana.. Ukiwa na neno la samsung na waya wake ukiugusa unakuwa kama unateleza hivi...
 
Back
Top Bottom