Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji chumba cha kupanga Dar es Salaam, kwa mwezi 50,000/=. Kama kipo mawasiliano WhatsApp, Call&SmS - 0769241355
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Wasalaam, eneo linauzwa milioni 28 hapa salasala km 2.5 kutoka bagamoyo road. kuna msingi wa nyumba imenyanyuka kukaribia kwenye rinta Bei tunaweza kuelewana. Nicheki kupitia 0652068060
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema. Nahitaj calculator tajwa hapo juu. Kama unayo nichek kwa 0765935449
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Inahitaji kioo na bampa la mbele, cc1490, engine5e. Ipo Magu Mwanza nicheki kwa 0652828828.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja ukubwa 20*19 million 6 Kipo karibu na shule ya msingi tegeta A Barabara na umeme vipo mpaka kwenye kiwanja mazungumzo zaidi yapo Call 0717 751 644
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mwenye namba ya wakala wa Sumsung mwanza au Dar anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako yote ya sanaa ya kiteknolojia(digital art work), tunamaanisha kuanzia 1. logo 2. labels 3. brochures 4. business cards 5. letter heads 6. latest and best website designs...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Samahani sana, hatufanyi biashara hii tena
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakupa Vega no 6 na sh 100000 taalim nahtaj kati ya simu tajwa hapo juu waweza ni pm Pantech Vega no 6 specs Ram 2GB. 1.5gh processor 32GB internal Memory v-touch wifi,nfc,blietooth, android 4.4...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habari zenu! Nina supply maziwa fresh na mtindi. Unaletewa mpaka nyumbani ukiwa Dar kuanzia lita tano. Na ukiwa mwenge hata Chini ya lita tano Unaletewa. Maziwa fresh lita moja 2000/= na lita...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nauza imac 27" had tb1 ram gb8 5icore display 5k retina, Ina crack kwa Mbali imejigonga ipo kwenye box mpya 0687 387545 au 0715 387545 sms upigiwe Andrea imac kwenye sms. Bei m3.3
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wadau nahitaj mashine tajwa hapo juu yenye specs zifuatazo; touch screen,i5,hdd1Tb,Ram 8gb,camera. Ntaipata kwa bei gan ikiwa new?
0 Reactions
0 Replies
723 Views
HP Envy 15.. core i7 2.1ghz boosted upto 2.6ghz... ram 8gb and hdd 500gb... 2gb dedicated nVidia graphics card... 15.6" LED Display... Brand New Laptop **** Price is 1.1m **** Call or WhatsApp...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
iwe na minimum specs hizi: 15.6"... 8gb ram ...500 hdd ... 2gb nvidia graphics card quad core @2.4ghz ...Intel core i7 contact me: whatsapp/texts : 0688 06 10 10 NO CALLS
0 Reactions
1 Replies
757 Views
sony vaio duo-core ram 2gb hdd 320gb price 400,000 kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
2 Replies
971 Views
-Helps removes make-up,dirt and impurities with pore tightening witch hazel -Tea free facial wash has been developed to cleanse your face and remove any impurities,leaving your face feeling...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
MAWASILIANO: 0754604567
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Natafuta spare za honda acty van ya mwaka 2004, spare ninayohitaji ni clutch plate na bearing ya kwenye top shaft. Mwenye info where to get anijuze pliz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Startimes wametoa application yao inayoitwa tenbre play kwa watumiaji wa smartphone za android .Application hii inakuwezesha Kufanya mabo yafuatayo 1.Kufanya malipo online 2.Kubadirisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeshafanya kazi muda mrefu ivyo ina wteja tayari. Ni ya standard ya kawaida. mwenyewe alikuwa mwanachuo amemaliza anataka kurudi kwao mkoani. For serious business just PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom