Frem zinapangisjwa Mwenge near TRA

Frem zinapangisjwa Mwenge near TRA

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Kama unahitaji frem ya kupangisha mwenge katibu na TRA zipo bei ni 300,000 kwa mwezi.. Frem zina ukubwa wa kutosha na ni sehemu nzur kwa biashara.. Nimeshindwa kuweka picha ila kama upo interested nichek kwa 0713415537, nakutumia picha kwa WhatsApp
 
Najaribu piga picha ziko sehem gani pale labda ungefafanua sehemu zilipo either opp au zinapakana na wapi kwa pale tra
 
Ziko opposite magorofa ya jeshi near TRA.. Hii barabara ya TRA kama unashuka Africa sana
 
Dah....mitaro ikiziba maeneo hayo kwa kujaa maji ni balaa! Hasa kuelekea Afrikasana
 
Mkuu kama hujui sehemu nyamaza, utachekwa.. Unajifanya unajua maeneo kumbe hujui, wanajua wanapajua,,
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Sawa mkuu nanyamaza kwa heshima yako.

Labda itoshe kukupa taarifa tu, nimeishi mwenge-mlalakuwa, sinza, kijitonyama (mabatini) miaka kumi na zaidi. Hiyo njia ya Afrikasana kuja Mwenge-sokoni nimeitumia kupita maelezo. Jogging za asubuhi kwa miaka 5 mfululizo hiyo ilikuwa ni njia yangu nakuja kutokea hapo uwanjani nyuma ya vinyago kwa ajili ya stretching. Nimefanya utafiti unaohusiana na mipango miji eneo linaloitwa "mwenge kijijini" (unalijua?). Labda uongelee sehemu nyingine mkuu.
 
OK mkuu hatuna haja ya kubishana.. Ila labda uelewe sehemu yenyewe.. Ni opozt na magorofa ya jeshi near TRA, mimi sio tu Kufanya mazoezi hapa nimezaliwa na kuishi hapa miaka 30 iliyopita.. So huku sio kule mitaa ya afrika sana, hii sehemu sijaona ikiwa maji labda kama huko miaka ya 60 kama umezaliwa huko.. Ila hata Ile mvua ya juzi haijaharibu hapa hata hivyo only serious people ndo hua wanaulizia vitu vya msingi sio kuponda na namba ipo.. Hua nashangaa kuna umuhimu gani wa kucomment kitu kwa kukiponda kama haupo interested?
 
Ilikuwa rahisi na bora zaidi kwa wewe kuweka picha mkuu. Ungeweza hata kuweka location (waweza kutumia googlemap, just 'screen shot').

Mimi nia yangu ilikuwa ni kutoa tahadhari tu ili wasiojua wasije wakingia kichwakichwa (maana muda huu ni kiangazi). Sina nia ya kuvuruga biashara yako.

Yes, watu wanaweza kukupigia au kuwasiliana na wewe kwa whatsapp lakini I can bet, utapata watu wachache sana. Weka biashara yako wazi hapahapa ukumbini....itajiuza yenyewe tu (kama wewe huwezi tafuta hata mtu akusaidie). Picha zinaongea zaidi kuliko maneno!

Otherwise, nakutakia kila la heri na uwe na amani tu.
 
Seriously unamuharibia biashara mwenzako SMU
 
Last edited by a moderator:
Wakuu frem zimeshapata wapangaji, thanks kwa wakuu mliochukua
 
Back
Top Bottom