kiwanja kipo kinondo mashariki ni baada ya madale karibia na mabwe pande kiwanja ni 20×20 bei ni mil 2 ninashida ya haraka na pesa kama upo serious nichek 0716385824
hati ipo mkuu
Aisee,kweli shida haina adabu,kiwanja rahisi namna hii.
Ni vile vya kikwete nini?
Pole Albert kwa matatizo ndio dunia,kama halijakukuta huwezi kujua,ila kwa sie tumeopitia shida za namna hiyo tunajua upo kwenye hali gani.Hapo ukiisha uza utaona wateja kibaoo
Mungu atakusimamia