Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa yeyote aliye na maono ya kuwekeza katika financial services kwa kutoa mikopo kwa watumishi wa Umma tu, tuwasiliane ili tuwekeze pamoja, usajili wa Exodus Financial services unaendelea hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yeyote aliye na sofa set used na anauza, tuwasiliane kwa simu 0688308840
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni blackberry bold 9900... Inatumia touch pamoja na button...Bado mpya,haina hata mwezi mmoja tangu ianze kutumika.. Bei ni 110,000 tu Nipo dar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni habari ya mjini bwana pata Decoder ya...Qsat,SpeedHD...zenye uwezo wa kuona channel za mpira Move bila malipo ya mwezi yani buree...pia tunalekebisha aina zote za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji kabati tajwa hapo juu lenye urefu wa mita 2 au 1.5. Nina laki 1 na 50 na nipo Mbeya. Nitanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamvi,kwa yeyote mwenye kuhitaji mashine ,za kisasa kutoka NJE ,tuwasiliane,zipo zenye ukubwa tofauti,kuanzia mayai 500,ni outomatic,huna haja ya kugeuza mayai .kila kitu kinafanyika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Contact 0752039770 for information.. Tractor lipo dar tayari and registered.
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Brand new air conditioner(super national) hp 2.. Million moja tu.. Contact 0752039770
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Wadau, Nahitaji pure sea salt isiyowekewa madini ya joto au chochote. Hii ni kwa mahitaji yangu ya kukaushia ngozi za wanyama. Ikipatikana kutoka Dar au Bagamoyo itakuwa safi. Piga 0758434141...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta DVD Player yenye option ya USB as soon as possible. Kama unayo nirushie picha hapa kabla hujani PM tufanye biashara. As soon as possible ntashukuru. Changamkeni
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Nahitaji msaada wenu wa ushauri. Nataka kwenda Entebbe (EBB) niko njia panda kati ya FastJest na RwandaAir. Kuna mdau ananiambia Fastjet hawako reliable wana cancell ndege mda wowote ingawa bei...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
HP Envy 15 q009tx... core i7 4G Quad core processor 2.3ghz... ram 4gb and hdd 500gb... 15" LED Display sliiiim... 6+hrs battery... 4gb nVidia graphics memory... brandy new laptop ***** Price is...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Nyumba inauzwa ipo makumbusho ina hati ya wizara ya Ardhi ina Sqmeters490 .Bei ni 300M.Gari inafika hadi mlangoni.Ipo makumbusho mtaa wa kenya.Nimeshindwa kuweka picha ila ninazo kwenye simu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii. Nahitaji kabati tajwa hapo juu nipo Mbeya. Ninahitaji la mita 2 lakini nina kama laki 1 na 50. Tafadhali mwenye nalo anijulishe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota premio ya mwaka 2000
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Pata kuangalia michezo mbalimbali kupitia channel za supersport ikiwa ligi mbalimbali za ulaya bila malipo ya mwezi kwa kununua Decoder yako ya Qsat..SpeedHD..kwa maelezo zaidi....0782664694
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja cha 3milion maeneo yoyote Dar kiwe na ukubwa wa kuanzia 20x20
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu aina nzuri za pikipiki na bei zake na wapi zinapatikana kwa Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Viwanja vipo vya kutosha vya ukubwa mbali mbali kuanzia sqm 480, mpka sqm 2000 bei ni tsh, 10,000/= kwa sqm moja. sumangila mwanzo mgumu ipo mbele ya dege ukifika kituo cha mwembe mdogo unaingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom