Msaada wa Ushauri Fastjet Vs RwandaAir

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,884
2,781
Nahitaji msaada wenu wa ushauri.

Nataka kwenda Entebbe (EBB) niko njia panda kati ya FastJest na RwandaAir. Kuna mdau ananiambia Fastjet hawako reliable wana cancell ndege mda wowote ingawa bei zao ziko fair sana compared to RwandaAir.

RwandaAir tatizo lao ni moja tu, wanazungukia Rwanda kuelekea Entebbe na hivyo kuifanya safari iwe ya mda mrefu sana na isitoshe bei zao ziko juu compared to Fastjet by 40%.

Mliotumia zote na wenye experience na hii route naombeni msaada wenu fasta.
 
Jipime as a customer,unataka vitu gani, kwa mfano;comfortability,reliability,convenience,good customer service,angalia kati ya rwandair na Fj ipi inaweza kukupatia hivo au zaidi to your satisfaction! Na pia mfuko wako unakuruhusu vipi.
 
Rwandair is the best...kwenye usafiri kuna mambo mengi mfano kuna muchelewa ndege..kuna dharura inawezatokea ukaamua mu ahirisha flight yako..sasa kwa watu kama fastjet ni shida manake kwao ukiachwa ni no show 100% non refundable..tofauti na rwandair ambao utalipia $20. Tuu...amendment pia ni kubwa kwa fastjet three times than rwandair..wengi wanasema fastjet ni rahisi but can say is the most expensive in other hand
 
Mkuu hekimatele mie sina uzoefu na hiyo route, ila kama siku nikiwa na safari ya hiyo route basi kimbilio la kwanza itakuwa fastjet kabla sijaangalia mashirika mengine ya ndege.
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na madhumuni ya safari yako kama ni ya utalii,kikazi au mapumziko.Katika hayo matatu unaweza kuchagua kati ya mashirika hayo mawili.Fastjet ni cheap zaidi ukilinganisha na Rwandair na hasa ukifanya booking mapema,kuanzia wiki mbili kabla ya safari yako.Nafahamu kuwa hiyo route ya Entebbe iko kwenye promotion ya Fastjet, kati ya JNIA na KIA.Rwandair wana direct flight kutoka Kigali,kwingineko utazunguka sana kabla ya kufika kwenye destination yako na bei siyo ya kitoto.
 
Nahitaji msaada wenu wa ushauri.
Nataka kwenda Entebbe (EBB) niko njia panda kati ya FastJest na RwandaAir.
Kuna mdau ananiambia Fastjet hawako reliable wana cancell ndege mda wowote ingawa bei zao ziko fair sana compared to RwandaAir. RwandaAir tatizo lao ni moja tu, wanazungukia Rwanda kuelekea Entebbe na hivyo kuifanya safari iwe ya mda mrefu sana na isitoshe bei zao ziko juu compared to Fastjet by 40%.
Mliotumia zote na wenye experience na hii route naombeni msaada wenu fasta.

Kamata FJ mkuu kwani chenji utatumia kununua vijizawadi, ila km unataka kuona watoto wazuri na kupata bia / soda basi chukua ile nyingine. FJ unanunua mwenyewe kwa bei ya ulanguzi. Angalizo usije ukachelewa kwani utajuta, uwe Airport angalau lisaa limoja kabla ya kuondoka
 
Nakushauri uende tu na FastJet........kama wewe ndio unagharamia hizo gharama za safari ila uwahi kukata tiketi ili upate punguzo la bei ya tiketi, kama safari ni tarehe 10, Agust, 2015 wewe kata kuanzia sasa isizidi tarehe 25, 7, 2015.

Kama sio wewe unayelipia, angalie nyingine nzuri zaidi ili ufurahie safari yako.
 
Wapo bora kuliko Precision. .........
Fastjet wana ndege nzuri kuliko Precision,ila shida wahudumu wake hawana busara na ukarimu,kitu kingine ni kuwa hata peremende unanunua wao hudai sababu ni ndege za gharama ndogo,Precision walikuwa juu sema KQ ndio wameiua tena,sasa ni kama vigali vya Arusha/Namanga.
Preta wasalimie Picnic,the free stress zone,ila huo mtindo wao wa kuwavika vichupi wahudumu wao ni maafa kwa wageni wanaokuja Arusha kwenye semina.
 
Kuza uchumi wa Tanzania kwa kutumia vitu na huduma za Tanzania. Chagua Fastjet.
 
Kamata FJ mkuu kwani chenji utatumia kununua vijizawadi, ila km unataka kuona watoto wazuri na kupata bia / soda basi chukua ile nyingine. FJ unanunua mwenyewe kwa bei ya ulanguzi. Angalizo usije ukachelewa kwani utajuta, uwe Airport angalau lisaa limoja kabla ya kuondoka

Ha ha ha
Nimependa hiyo signecha yako mkuu
 
Nakushauri uende tu na FastJet........kama wewe ndio unagharamia hizo gharama za safari ila uwahi kukata tiketi ili upate punguzo la bei ya tiketi, kama safari ni tarehe 10, Agust, 2015 wewe kata kuanzia sasa isizidi tarehe 25, 7, 2015.

Kama sio wewe unayelipia, angalie nyingine nzuri zaidi ili ufurahie safari yako.

sante mkuu
 
Back
Top Bottom