Mashine za kisasa za kutotolea vifaranga

Mashine za kisasa za kutotolea vifaranga

Joined
Jul 21, 2012
Posts
94
Reaction score
23
wanajamvi,kwa yeyote mwenye kuhitaji mashine ,za kisasa kutoka NJE ,tuwasiliane,zipo zenye ukubwa tofauti,kuanzia mayai 500,ni outomatic,huna haja ya kugeuza mayai .kila kitu kinafanyika outomatic, mawasiliano,0754 645253
 
Weka picha, bei ya mashine kwa kila size na zinatoka nchi gani . .
 
bei kwa mashine zilizopo .mayai 352.ni 1.4 mayai 528 ni 1.8 mayai 880 ni 2.0 na ya mayai 1500 ni 2.9 karibuni
 
wanajamvi,kwa yeyote mwenye kuhitaji mashine ,za kisasa kutoka NJE ,tuwasiliane,zipo zenye ukubwa tofauti,kuanzia mayai 500,ni outomatic,huna haja ya kugeuza mayai .kila kitu kinafanyika outomatic, mawasiliano,0754 645253

Kaka nisaidie,ni ya kutumia umeme au solar? Na kama ni ya umeme endapo umeme utakatika itaweza kuexist kwa muda gani ikifanya kaz wakati wa kusubiri umeme kurudi?
 
upande wa mashine za solar .hizo zipo maalum kwa ajili ya solar yaani inakuwa imekamilika mfumo wote wa solar.ila kwa mzigo uliopo hizo za solar hatuna mkuu.
 
Attachments

  • 1428926859884.jpg
    1428926859884.jpg
    42.5 KB · Views: 156
Back
Top Bottom