Mimi ninayo ekari 16 ya shamba kando kando ya Bwawa lililojengwa na Serikali kwa ajili ya umwagiliaji. Katika majira ya kiangazi kuanzia Mwezi wa Mei mwishoni nataka kuanza kilimo cha vitunguu kwa...
www.jumia.co.tz is looking for reliable clothes vendors located in Daresalaam only to supply clothes to www.jumia.co.tz fashion category. If interested please call 0759313687 for more information.
...Gari aina ya Toyota Passo inauzwa ni mpya namba D... Picha zinasunbua kuweka hapa jukwaani ila unaweza kukutumia via whatsup.. Number yangu ni 0713 590607... Specification zake ni:
Model...
Natafuta tairi mpya 4 za kununua size 215/65R16 aina ya BRIDGESTONE ambazo ziwe zimetengenezwa Japan mwaka huu wa 2015, ambaye anazo hizo tairi tafadhali tuwasiliane.
ANGALIZO. Tairi za size...
Bei milioni 7 kuna punguzo kimepimwa kiko sehemu nzuri karibu na barabara kuu iendayo nairobi ukubwa ni 22 kwa upana 32 kwa urefu wahi sasa.
Kwa mawasiliano piga 0787593433
Jipatie kadeti kali na jeans kali kwa wanaume na vijna size yoyote utakayo ni rangi nzuri nitakuleta kma uko ofisini au kma uko mbali tutaangalia jins gani ya kukufikishia.
Piga namba hii kwa...
Habari wadau,natafuta jiko la zamani la stove lililoandikwa neno german na pasi ya mkaa ya zamani iliyoandikwa german mwenye hizi assets ani sms kwa 0687532647
THANKS.
Nyumba inauzwa, ipo Tandika mtaa wa Nyambwela. Ina vyumba Nane katika kiwanja cha 20 kwa 20 mita. Namba ya nyumba ni TMK/TDK/NAY/21. Bei Maelewano. Kwea Mawasiliano zaidi piga 0715634825/0755634825
Magari mawili yanauzwa; Prado na Rav 4. Gari zote zinatumia Petrol na ni Automatic. Tunapatikana Mikocheni.
Wasiliana nasi kwa simu no: 0719891518 au 0765019798
Karibuni sana..
Wanajanvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu kama kuna anaejua procedure na pia ni mtaji wa sh ngapi unahitajika ili uweze kuwa na sifa za kuuza sigara kwa jumla nikitumia...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi nipo Iyunga Mbeya natafuta kabati la aluminium mita 2 ambalo ni used maana nina hela ambayo haizidi laki 1 na 50.
Pamoja sana.
House with Two Equal Apartments for Sale: Chanika DSM:-
Ø Each apartment : seat + dining room, 2bed room, Store, kitchen, Front verandah, external toilet, bath room and parking area.
Ø Plot...
Habari zenu wakuu?
Nina rafiki yangu yupo UAE(Dubai) atafika nchini hapa Arusha 10/08/2015.
Kuna simu nimemuomba aniangalizie bei
Samsung note 3 =$550
Sony Experia X utra =$300
Sony Experia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.