Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 144
Kwa yeyote aliye na maono ya kuwekeza katika financial services kwa kutoa mikopo kwa watumishi wa Umma tu, tuwasiliane ili tuwekeze pamoja, usajili wa Exodus Financial services unaendelea hivi sasa na utakamilika hivi karibuni.