Kiwanja kinauzwa Mivumoni-Muungano

Kiwanja kinauzwa Mivumoni-Muungano

Joined
Jun 26, 2015
Posts
56
Reaction score
21
Kiwanja kipo Mtaa wa Muungano, Kilomita 1 kutoka kituo cha daladala mivumoni (daladala Zinapogeuzia).

Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2000, Kiwanja kinakatwa kama ifuatavyo:--
20Mita Kwa 20Mita = 8Milioni.
40Mita Kwa 20Mita = 16milioni.
40Mita Kwa 50Mita (Kiwanja Chote) = 40Milioni.

Barabara Nzuri, Umeme Upo na Huduma Nyingine Zinapatikana.
Mawasiliano Yangu:: 0752953860
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom