Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari zenu... natafuta monitors za computer zenye inch 28 au zaidi kwa bei chini ya shilingi laki mbili kila moja.
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Nahitaji generator kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama kuwasha TV, Taa, Friji na AC. Kwa wenye utaalamu ni generator gani nzuri kwa haya mahitaji? Na ni wapi naweza kupata. Pia ningependa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TECNO H7 Price 190,000 Internal memory 4GB IPO DAR, Simu: 0763177343
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nauza sehemu ya kutengenezea chipsi ikiwa kamili pamoja na vyombo kama majiko mawili, kabati la alminium, karai, yani kila kitu kinachohusika wewe unakuja na mtaji tu..kipo dodoma mita123...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wadau.natumai mpo poa sana nimekuja kwenu kuwatangazia kwamba kuna nyumba bro wangu anaiuza iko maeneo ya Arusha njiro ghorofa mbili. Kiwanja ni 30*25 nyumba ina vyumba vinne master...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ninaparcel yangu nimenunua kutoka german lakn nimeshindwa kusafirisha kwa dhl man wamesema hawaruhusu kusafirisha parcel zenye betre wanahofia madhar kweny ndege mizigo yangu ipo tu sijajua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa MC SIMON Mzungu ni mshereheshaji (MC) katika harusi,send off na matukio mbalimbali,mara nyingi Nimealikwa katika vikao mbali mbali vya harusi lakini Washereheshaji Tunaulizwa maswali...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Aina ya gari: Suzuki vitara short chesis Transmission: Manual CC: Below 2000 Odometer: 200,000 Haina historia ya ajali Body ni mpya na yenye mwonekano mzuri Mahali ilipo: Dar Sababu ya kuuza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ziwe za rubber za maskion. zikiwa wireless na uwezo mkubwa itakuwa vyema zaid. picha niloweka ni ya muundo na si ubora
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu msaada wenu nahitaji mdada wa kazi.nipo dar es salaam ila napenda wa kutoka mikoa ya iringa,dodoma,singida,kilimanjaro ila asiwe mpare,mwanza,shinyanga,tabora,zanzibar.wa zanzibar atapewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samsung s3. Cameramp16, Internal memory gb16, Cont:0717430858
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Jezi mpya ya CHADEMA zinakuja sokoni. Cha kufanya ni kuweka order kwa sababu jezi zinakuja kwa order maalum. 0717 022737 kwa mawasiliano..
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Nyumba mpya ya vyumba 3 inapangishwa Nyamongoro Ilemela Mwanza. Kwa maelezo zaidi;View Property Kuangali nyumba na viwanja mbalimbali tembelea; DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide
0 Reactions
0 Replies
3K Views
anayehitaji kutengenezewa injini za magari na gearbox za toyota 1VD,1KD,2KD,1KZ 1HZ 3L na 5L Tuwasiliane kwa no 0766981308 Pia tunafanya service ndogo na kubwa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unahitaji nicheki 0713774746. Used for few weeks haina tatizi.... Ipo mbezi beach dsm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
diesel[/ATTACH] Suzuki escudo Diesel KT-TD 31W Engine RF 1998cc
0 Reactions
0 Replies
845 Views
BARISON SEPTIC SOLUTIONS CO Ltd, Ni kampuni inayohusika na system za choo ambazo hazijai na haina haja ya kuchimba mashimo makubwa ndani ya Nyumba yako, System inaitwa Bio digester kazi yake kubwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
ninauza kabati za aluminium kwa ajili ya kuhifadhia dawa.ni kabati nzuri na kubwa.napatikana maeneo ya mbezi mwisho.namba hizi zitakupa maelezo zaidi0687883420
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ni Toshiba yenye sifa zifuatazo: RAM: 2GB HDD: 465 PROCESSOR: 1.8GHZ BEI: 320k Kwa maelezo zaidi njoo inbox..napatikana kibaha kwa sasa.
0 Reactions
0 Replies
973 Views
jaman mwenye kuhitaji resever tajwa hapo juu inauzwa bei ni 200000 namba 0754288065/0783905864
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom