Nipo Dodoma, hivi vitu nitavipataje?

Nipo Dodoma, hivi vitu nitavipataje?

kyatamato

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
387
Reaction score
269
Habari,
Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja..
shukran kwa atakaye nisaidia.
 
0713 235 535 piga hiyo namba acha maneno wala ulikoitoa ongea naye issue ya biashara yako!!!!
 
Habari,
Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja..
shukran kwa atakaye nisaidia.

Unaweza chukua mzigo Kampala kwa bei nzurii saaaana au Nairobi
 
Habari,
Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja..
shukran kwa atakaye nisaidia.

Mambo mazuri kama hayo niPm nikupe mzigo
 
Attachments

  • 1439991910754.jpg
    1439991910754.jpg
    18.6 KB · Views: 80
Back
Top Bottom