mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89
Tunapokea order za kuprint/kuweka picha kwenye T-shirt au nguo kwa gharama nafuu sana..
Ukija na materials yako kwa maana tshirt na printing paper ikiwa tayari, tutakuprintia kazi yako kwa gharama ndogo ya TZS 500/= tu kwa kila Tisheti.
Mashine ina uwezo wa kuprint Tshirts 5 kwa dk 1, kwa maana ndani ya saa 1 unatoa Tshirts 300.