Nauza kibanda cha chipsi pamoja na vyombo mahala Dodoma

Nauza kibanda cha chipsi pamoja na vyombo mahala Dodoma

return of cs

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
130
Reaction score
24
Wakuu nauza sehemu ya kutengenezea chipsi ikiwa kamili pamoja na vyombo kama majiko mawili, kabati la alminium, karai, yani kila kitu kinachohusika wewe unakuja na mtaji tu..kipo dodoma mita123 kutoka chuo cha CBE iliyevutiwa ani pm, bei ni laki 5 tu
 
MKUU weka picha au niambie ni karibu na banda la Niko au maeneo ya bar ya Serengeti. Kama back lipo sema
 
Back
Top Bottom