Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama ni muhitaj wa kiwanja maeneo ya chanika Tuwasiliane, Bei kuanzia million 4, Umeme upo na maji c shida!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba imejengwa siku za karibuni (mpya). Ipo Ununio umbali wa kilometa tisa kutoka Mbuyuni (Njia panda ya kwenda Kunduchi), kwenye eneo lililopimwa na lililosheheni nyumba za kisasa. Nyumba hii...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
This is a newly built residential mansion constructed at high standard of workmanship and specifications. It is located at Ununio, an emerging posh residential neighborhood. The bungalow provides...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
nina kabati kubwa la aluminium naliuza bei kwanzia 500000/= contact:0719105823 liko tandika/Buza
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau Kibaha kwa Mathias karibu na kiwanda cha magari ya jeshi nyumbu, kuna viwanja vyenye ukubwa wa hatua 20 kwa 20 vinauzwa muuzaji ana shida anahitaji kuitatua kama unahitaji ni Tsh 4 milion...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumai ni wazima na mnaendelea vyema kujenga taifa, Ninauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa bei poa na nipo tayari kutoa kwa order,karibuni sana wadau na mungu awabariki.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Laptop inauzwa bei poa 250,000/= DELL Intel(R) Premium (R) M processor 1.6 GHz 1.6 RAM 1.25GB 32-bit. No time wasters please Contact 0655957715 Karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada kwa mwenye taarifa wapi naeza pata kioo cha ipad min hapa dsm naomba aniaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Exclusive offer for Office Spaces TO RENT at Ubungo Plaza in Dar Es Salaam. $600 Per Month 3months deposit accepted. SPACIOUS 46SQURE METER with AMPLE SAFE PARKING for your car the whole day...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
AINA : MITSUBISHI LANCER MWAKA: 1999 RANGI: BLUE CC: 1597 IMETEMBEA: KM 152,300 HALI: INATEMBEA, IKO VEMA ENGINE: 4G 92 ( UKIBADILI UKAWEKA TOYOTA INAFAA ZAIDI INGINE 4E) BODI NA NDANI: SAFI ILA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jengo la kumalizia linauzwa bei nafuu limeshaezekwa lipo sehemu nzuri kibiashara. Muhusika 0759085356.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kiwanja cha ukubwa wa 25 x 20, kina nyumba (sio ya kisasa) ya tofali za block na choo cha nje. Haina uzio. Ipo mtaa wa kwamathias, mita 400 kutoka kwa mzee mathias barabara ya zamani. Hakuna...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina 3.5M nataka Gari, starlet au corolla. Namba C,au B
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jipatie hand bags kwa bei rahis na popote ulipo utatumiwa. Wasiliana kwa no 0713702281
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Salaam, Mdau yeyote mwenye kujua taarifa zote muhimu za HIACE USED kutoka nje na mtambo mdogo wa kuchakata mawe na kutenga dhahabu (kutenga dhahabu kutoka kwenye mawe).Yeyote anayeweza kunisaidia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ISTnumber B IST number C Nahitaji kama unazo nicheki whatsapp 0713774746
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cc1790.model 2002.engine vvti.number d,,,price 18 kwa maelezo zaidi call 0713295044
0 Reactions
7 Replies
1K Views
[SIZE=3]Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mathias. Kina ukubwa wa mita 30 x 35. Kipo umbali wa Mita 100 kutoka barabara ya zamani karibu na NEW ROMBO PUB. Miundo mbinu ya maji, barabara na umeme ipo...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Iwe ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure. Kiwanja unachoweza kupaki magari matatu au manne. Iwe katika maeneo ambayo kuna barabara gari inaweza kuingia. Usilete nyumba ambayo parking zake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyo jieleza kama mtaalamu ana kifaa hicho tuwasiline kwani kinahitajika sana. Karibu
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Back
Top Bottom