Nyumba inauzwa Arusha, Njiro ghorofa mbili

Nyumba inauzwa Arusha, Njiro ghorofa mbili

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habarini wadau.natumai mpo poa sana nimekuja kwenu kuwatangazia kwamba kuna nyumba bro wangu anaiuza iko maeneo ya Arusha njiro ghorofa mbili.
Kiwanja ni 30*25
nyumba ina vyumba vinne master bedroom included......pamoja na sitting room na jiko kuna uwanja mkubwa wa parking.
Bro kaishiwa na pesa ya kumalizia nyumba hivyo ameamua aiuze ili ajipange upya.
kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa namba 0714478797.anahitajia 130m.
natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom