Nauza duet mil 3.5 haina tatizo lolote inanusa mafuta cc900 imetembea 152,000km full sound pioneer &xplod inadaiwa kibali kimoja tu (road licence) mziki na rim tu gharama zake imecost 2 million...
Nauza viatu kwa kuanzia vya kike, bei inaanzia 10000-20000, walio ndani ya dar wanafikishiwa popote walipo, walio nje ya Dar kuanzia pair 10 tunaku2mia mzigo.
Kwa mawasiliano ni pm.
Nahitaji kiwanja medium au low density Mtwara mjini. kiwe kwenye maeneo ya wenye nazo au karibu na bahari. Kwa wenye nyumba ya kuuza mtwara maeneo mazuri na au karibu na bahari tafadhali tuwasiliane.
kichwa cha habari hapo juu kinahusika, kuna nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa mtwara mjini maeneo ya ligula kwa jionee. nyumba iko ndani ya fence ina chumba tatu zenye master rooms, sebule jiko...
Habari wakuu.
Kuna Researcher alikuwa anataka nyumba ya Kununua,iwe karibu kabisaaa ya Gate la kuingilia Mbuga ya Serengeti National Park.
Mwenyenayo anaweza kuleta pendekezo lake nimtumie...
Nahitaji semi precious stones aina yoyote ile kwa bei yako. Kila aina ya precious stone iwe kwa kiwango kikubwa (weight wise). Nipo Dar-Es Salaam na Morogoro
Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879...
Habar wanajamii, ninahitaji accounting software ya Tally ERP 9, aliyenayo ani-pm tafadhali.
Tafadhali zingatia version nilio itaja hapo juu, ndio ninayo ihitaji na si aina nyengine
Asante
Ndugu zangu nauza gari dogo aina ya vitz haina tatizo lolote bei sh mil 6 maongezi yapo iko katika hali nzuri, imetembea km 86000 tu, kwa maelewano zaid pm
Rapid Services & Specialities is a company that provides A/C service maintenance, house and office cleaning and maintenance
for more details call or whatsapp on 0767-008822
Ninauza line za uwakala wa mitandao hiyu hapo juu kwa dharura.Bei iko fair sawa wanajamvi.Kama kuna mtu anahitaji
Nitafute kwa namba 0654 817575
First come first served.
Gari ya mc inauzwa mil 3 tu.
contact: 0713774746 (whatsapp also)
Lipo DSM na pia ni fixed price.
gari inatembea fresh na ac ndani iko bomba tu.
HII GARI ISHAUZWA......
KUNA GARI ZINGINE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.