Nauza duet mil 3.5

Nauza duet mil 3.5

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Nauza duet mil 3.5 haina tatizo lolote inanusa mafuta cc900 imetembea 152,000km full sound pioneer &xplod inadaiwa kibali kimoja tu (road licence) mziki na rim tu gharama zake imecost 2 million gari ipo mbezi kimara.

Kama upo serious nichek 0716385824
 

Attachments

  • 1438712843017.jpg
    1438712843017.jpg
    30.2 KB · Views: 560
  • 1438712854511.jpg
    1438712854511.jpg
    28.2 KB · Views: 521
  • 1438712865640.jpg
    1438712865640.jpg
    19.9 KB · Views: 491
  • 1438712876283.jpg
    1438712876283.jpg
    37.7 KB · Views: 485
nauza duet mil 3.5 haina tatizo lolote inanusa mafuta cc900 imetembea 152,000km full sound pioneer &xplod.inadaiwa kibali kimoja tuu (road licence) mziki na rim tuu gharama zake imecost 2 million gari ipo mbezi kimara. kama upo serious nichek 0716385824

Hahaha we jamaaa muongo kweli mziki na ream 2m??
 
Kula laki 8 na nusu fasta mdau na mimi nitoe mkosi
 
Narudia tena jf hakuna wateja
Kumejaa students
 
kumbe siku hizi gari ni rahisi kuliko pikipiki. Looh hata mie nitanunua.
 
Mkuu toa hiyo laki tano nitatumia kuisafirishia kuja mwanza, nimeku pm umekataa fanya 3M mi nije kuiona na kuchukua kabisa.
 
Narudia tena jf hakuna wateja
Kumejaa students
Umekosea,
Jf kumejaa Wafanya mas'hara.
Sasa kama huzijui siasa za humu utapasua kichwa chako.
Lakini tatizo lingine kila mtu kwa kuwa anajua kuandika basi anadhani anaweza kuwa dalali.
Mwishowe unaishia kupokea dhihaka.
 
Umekosea,
Jf kumejaa Wafanya mas'hara.
Sasa kama huzijui siasa za humu utapasua kichwa chako.
Lakini tatizo lingine kila mtu kwa kuwa anajua kuandika basi anadhani anaweza kuwa dalali.
Mwishowe unaishia kupokea dhihaka.

mkuu udalali wa nyumba unahusika?
 
Kamanasema kweli toka moyoni ikifika 2.8 nicheki inbox nakuja kuichukua tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom