Software ya Tally ERP 9 inahitajika

Software ya Tally ERP 9 inahitajika

Abuhunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
409
Reaction score
233
Habar wanajamii, ninahitaji accounting software ya Tally ERP 9, aliyenayo ani-pm tafadhali.
Tafadhali zingatia version nilio itaja hapo juu, ndio ninayo ihitaji na si aina nyengine
Asante
 
Habar wanajamii, ninahitaji accounting software ya Tally ERP 9, aliyenayo ani-pm tafadhali.
Tafadhali zingatia version nilio itaja hapo juu, ndio ninayo ihitaji na si aina nyengine
Asante

Ukihitaji Quickbooks Pro 2014 kwa bei nafuu nitafute
 
Asante mchunguz huru, Kwa sasa shida yangu ni tally erp 9, kwa ajili ya project maalum
 
Ninayo nashindwa kukupa maana siko dar kwa sasa
 
Back
Top Bottom