yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
kichwa cha habari hapo juu kinahusika, kuna nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa mtwara mjini maeneo ya ligula kwa jionee. nyumba iko ndani ya fence ina chumba tatu zenye master rooms, sebule jiko na mengine kadhalika. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0784 461 705 au 0773 308 372. bei ni rahisi kabisa karibuni wateja.