Nyumba ya kununua karibia ya Serengeti National Park

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,878
Reaction score
10,099
Habari wakuu.
Kuna Researcher alikuwa anataka nyumba ya Kununua,iwe karibu kabisaaa ya Gate la kuingilia Mbuga ya Serengeti National Park.

Mwenyenayo anaweza kuleta pendekezo lake nimtumie.
Unaweza kutuma through PM au kwenda kweny email :- thetiptop@outlook.com
 
Geti la kuingilia Serengeti National Park? Kwa Jiografia niliyosoma miaka mingi iliyopita, kuna Mageti kadhaa ya kuingilia SNP.
 
Back
Top Bottom