Nauza gari milioni 3

Nauza gari milioni 3

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
Gari ya mc inauzwa mil 3 tu.

contact: 0713774746 (whatsapp also)

Lipo DSM na pia ni fixed price.

gari inatembea fresh na ac ndani iko bomba tu.

HII GARI ISHAUZWA......

KUNA GARI ZINGINE HIZI

1. TOYOTA GAIA MIL 6 NUMBER CLD
2. TOYOTA HILUX DOUBLE CABIN MIL 10 NUMBER ANF

ZOTE ZINATEMBEA.
 
Attachments

  • IMG-20150208-WA0024.jpg
    IMG-20150208-WA0024.jpg
    43.8 KB · Views: 2,420
Unauza gari au picha ya gari?

Weka vionjo vinavyoionesha kuwa ni gari...
 
G90 alimaarufu gallon sasa mkuu muuzaji linatembea hama graunded?
 
Vielelezo zaidi ni vitu vya muhimu sana. ie. picha ya mbele, ubavuni na ndani. aina na ukubwa wa injini. Imetembea km ngapi? Automatic au manual.
 
hayo barabarani ndiyo utalitambua kwa nini mjapani kalivisha silinda sita!
Kwa barabara gani za hapa Tanzania zenye tochi kibao?
Kwenye starting tu GX 90 mpaka GX 100 hamna kitu machovu hasa na ndio maana hata kwenye mashindano yoyote ya magari Ulimwenguni hayajawahi shiriki
Corolla au Carina Ti USISEME shooting yake hadi 100km/h ni ndani ya 10sec
nilishawahi teremka na Corolla ya kizamani AE 100 njia ya Chalinze - Moro zilikuwepo Toyota Grand zenye injini ya GX na Ballon yako ilikuwepo na vigari vidogo km Toyota IST Ballon tulimuacha mbali sana na IST alituongoza hatukumuona
Kwa hiyo Technology ya hizi Ballon imepitwa na wakati na sijui km zipo tena kwenye soko la 2010
Ballon 1990 cc
IST 1500cc
Corolla 1499 cc
 
hahahhaa, hizo siyo za mashindano kaka. na hapa hatuzungumzii mashindano, tunazungumzia safari za kawaida DAR-TUNDUMA, MZA-SONGEA, ARUSHA-MTWARA. Swala la IST kuiacha gx100 (au gari nyingine yoyote yene silinda sita) inategemea na mtu aliyekuwa ndani ya hiy0 gx100, inawezekana hakuwa na haraka hivyo alipisha tu, siyo kila mtu anapenda kushindana. simaanishi kwamba gx 90, 100,110, 120nk kuwa ndiyo ultimate barabarani, lakini kadri gari inavokuwa na kifua kikubwa ndivyo msimamo unavyokuwa mkubwa barabarani, ndiyo maana wewe unaweza ukajiona unatembea balaa umenyoosha mguu mpaka umegota, lakini unaona mwenzako anakupita kama umesimama...vifua tofauti. Natamani sana siku moja niwe kwenye crown, niongozane na IT mark-x na brevis zote vifua sawa, natamani sana kuzipima nguvu hizi gari.
 
Back
Top Bottom