Nahitaji kiwanja au nyumba ya kisasa mtwara

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2,431
Reaction score
3,103
Nahitaji kiwanja medium au low density Mtwara mjini. kiwe kwenye maeneo ya wenye nazo au karibu na bahari. Kwa wenye nyumba ya kuuza mtwara maeneo mazuri na au karibu na bahari tafadhali tuwasiliane.
 
UK wapi kiongozi? MI niko Mar uenda nikakusaidia
 
Nipo Dar mzee. Tafadhali nisaidie . Nilikuwa likizo Mtwara hadi jumamosi iliyopita na kutokana na uzuri wa hali yako nimeamua nikipata kiwanja au nyumba nzuri nihamie huko.
 
Ni-PM namba yako tufanikishe hitaji lako mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom