Single line yenye 3G
smartphone OS
Touch screen
Internal 30 MB
Ina uwezo wa application kama vile operamini, whatsapp na viber kwa anaeitaji
Call 0717 751644
Shamba linaukubwa wa heka mbili,
lipo karibu na mji kilometer moja kutoka barabarani.
kuna miembe minne, mkiorosho mitano, linafaa kwa kilimo cha nanasi.
Bei 2.2mil maelewano yapo.
mauziano...
Wakuu heshima yenu, kutokana matatzo ya kifedha nmeamua kuuza simu niipendayo LG G3/D855 kwa bei ya 380, 000 tu sawa na bure.nmeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.bdo ni mpya...
Wadau hongereni kwa majukumu.
Naomba kujua ni hoteli gani nzuri pale Morogoro mjini (mji kasoro bahari) ambayo mtu unaweza kupumzika kwa utulivu, usalama wa kutosha na hakuna kero mbalimbali na...
Habari za jioni wanajamvi
Kulingana na watu wengi kuwa bize na shuguli mbalimbalib maandalizi ya harusi huwa magumu hasa ukizingatia kuwa wakati wa shuguli za harusi, sendoff, kitchen party, kipa...
Habari ndugu zangu wanaJF,
Kama kawaida support yenu inanipa uwezo kupiga hatua mbili mbele. Jipatie Theod shirt cotton poplin with Kitenge kwa Tsh 20000. Size zote zinapatikana na utaipata mkoa...
Nijuze ni mtandao uliopo chini ya kampuni ya MES solution.Nijuze ni makataba ya kuhifadhi mawasiliano ya wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali wenye ofisi,ili iwe rahisi kwa wateja wao...
Mambo?
Natafuta chumba cha kupanga mitaa ya mbagala, kongowe na maeneo jirani. Njia iwe inapitika vizuri (sio na gari, ya miguu, sina ata bodaboda) hasa msimu wa mvua, kusiwe chochoro sana (maana...
Salama wadau,
Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioable.
Tunauza combine harvester Massey ferguson 87. Tumelinunua kutoka Denmark, ambako limetumika kidogo sana, na halijatumika hatakidogo Tanzania. tunliuza kwasababu tunabadili kilimo. tunataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.