mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,762
Shamba linaukubwa wa heka mbili,
lipo karibu na mji kilometer moja kutoka barabarani.
kuna miembe minne, mkiorosho mitano, linafaa kwa kilimo cha nanasi.
Bei 2.2mil maelewano yapo.
mauziano yatafanyika ktk ofisi za kijiji kuepusha utapeli.