Jipatie Mayai ya layers and broilers ya kutotoleshea

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Salama wadau,

Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioable.
 
Attachments

  • deo.jpg
    deo.jpg
    10 KB · Views: 209
Mkuu naomba kujua haya

1. Una parents? Na kama ni yesi uliwanunua wapi? na wa aina gani?

Kwa sababu kuna mtindo upo watu wanachukua kuku wa mayai ya kula wanawawekea jogoo then wanauza kama layer eggs for hatching the same kwenye broiler.

Parents wa Mayia na Nyama hawazalishwi Tanzania hii bali hutoka Ulaya au South Africa, na Parents wale ni special kwa ajili ya kuhatch na kupata either kuku wa Nyama au Mayai.

Na vifaranga ni very expensive make Day one some time huenda hadi 20,000/ za kitanzania sasa nina mashaka na mayai ya hawa parents yakiuzwa bei sawa na mayai ya kula

Tupe ufafanuzi mkuu make yangu ni hayo tu
 
Naunga mkono hoja .... ufafanuzi ni muhimu
 
Safi sanaa mkuu,wewe kweli ni mfugaji makini sanaa,kuna company inaitwa AVIAGEN hii ipo UK,wanatoa Arbor Acres (AA) for broiler breaders,pia kuna Kenchick ambao ni Layers Breeders.

Mayai ambayo mimi nitakuuzia yatakuwa ni mayai ambayo yana ubora wa hali ya juu toka kwa parent wa Aviagen and Kenchick.

Tunaweza kuingia mkataba wa kuuziana hayo mayai kama unaona kuna magumashi,but pia unaweza nitafuta tufanye biashara ya uhakika if uko tayari.
 
Mkuu unapatikana mkoa gani Tanzania hii?nahitaji sana hayo mayai mkuu
 
Mkuu naomba kujua haya

1. Una parents? Na kama ni yesi uliwanunua wapi? na wa aina gani?

Kwa sababu kuna mtindo upo watu wanachukua kuku wa mayai ya kula wanawawekea jogoo then wanauza kama layer eggs for hatching the same kwenye broiler.

Parents wa Mayia na Nyama hawazalishwi Tanzania hii bali hutoka Ulaya au South Africa, na Parents wale ni special kwa ajili ya kuhatch na kupata either kuku wa Nyama au Mayai.

Na vifaranga ni very expensive make Day one some time huenda hadi 20,000/ za kitanzania sasa nina mashaka na mayai ya hawa parents yakiuzwa bei sawa na mayai ya kula

Tupe ufafanuzi mkuu make yangu ni hayo tu

Nina parents from Aviagen and Kenchicks,Usishangae bei per tray,sisi huwa tunauza vifaranga vyetu TZS 1300 broiler DOC and 2200 Layer DOC.

Huu ndio wakati wako mfugaji kupata mayai yenye ubora na yaliyotuzwa kisasa zaidi.

Karibu sanaa
 
uko mkoa gani kabla hatujakutafuta, mode of payment and delivery ikoje? Ninahitaji nipo dar
 
Back
Top Bottom