Wadau hongereni kwa majukumu.
Naomba kujua ni hoteli gani nzuri pale Morogoro mjini (mji kasoro bahari) ambayo mtu unaweza kupumzika kwa utulivu, usalama wa kutosha na hakuna kero mbalimbali na...
Habari za jioni wanajamvi
Kulingana na watu wengi kuwa bize na shuguli mbalimbalib maandalizi ya harusi huwa magumu hasa ukizingatia kuwa wakati wa shuguli za harusi, sendoff, kitchen party, kipa...
Habari ndugu zangu wanaJF,
Kama kawaida support yenu inanipa uwezo kupiga hatua mbili mbele. Jipatie Theod shirt cotton poplin with Kitenge kwa Tsh 20000. Size zote zinapatikana na utaipata mkoa...
Nijuze ni mtandao uliopo chini ya kampuni ya MES solution.Nijuze ni makataba ya kuhifadhi mawasiliano ya wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali wenye ofisi,ili iwe rahisi kwa wateja wao...
Mambo?
Natafuta chumba cha kupanga mitaa ya mbagala, kongowe na maeneo jirani. Njia iwe inapitika vizuri (sio na gari, ya miguu, sina ata bodaboda) hasa msimu wa mvua, kusiwe chochoro sana (maana...
Salama wadau,
Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioable.
Tunauza combine harvester Massey ferguson 87. Tumelinunua kutoka Denmark, ambako limetumika kidogo sana, na halijatumika hatakidogo Tanzania. tunliuza kwasababu tunabadili kilimo. tunataka...
Mweny Nay Anipm Namb By Now Nk Dodma Kama Uk Dsm Hop Kwa Dom N Rahs Kunifikia
Iwe Ina Kubl Kusma Lain Hat Ikiwa Na Kreck Kwny Kioo Bt Iwe Inapga Mzg Fresh Tnaongea Bznez
KWA WAWEKEZAJI NA MTU YEYOTE INTERESTED,
KUNA KIWANJA KIKUBWA 20603 sq.kms. KIKO surveyed tayari, na plots 21 ndani yake.
Total size/ukubwa : 20603 sq.kms
plots/viwanja vidogodogo ndani yake...
Wadau habarini za majukumu;
Samahani katika tangazo hili nitachanganya lugha** Kiswahili - English
★ Sisi ni wadau wa masuala ya habari na mawasiliano...
( Team of ICT and Computer Program...
Wakuu ninahitaji simu nzuri ya kisasa, bei isizidi laki 2. Kwangu simu nzuri ni yenye uwezo mzuri wa kamera, internet spidi, uwezo wa betri, ya kudumu nk. Pia mnaweza kuniongezea na vigezo vingine...
Habari wadau, nauza Lexus Rx 3.0 kwa shiling milioni thelathini na mbili (32M),
Gari iko katika hali nzuri, ni ya 2006 na imetembea 126,000 miles! Ni gari ya UK so ina leather seats na ni...
Wakuu poleni kwa kazi
Nina nyumba yangu iko Mtwara mitaa ya Chuno. Ina vyumba 7, vitatu ni self, jiko na sebule na sehemu kubwa ya kupaki magari ambayo inaweza kutumika kama warehousing.
Sasa...
Wadau,
Nina idadi kubwa ya scrapped /shredded truck tyres nahitaji wateja .Ninaweza kusupply zaidi ya tani 3 kila mwezi.Mwenye ufahamu wa soko husika au biashara hii inakwendaje naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.