Machine ya max malipo inauzwa Dsm

Machine ya max malipo inauzwa Dsm

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Habari zenu ndugu,
Machine ya max malipo imetumika miezi minne inauzwa shillingi laki 450,000/=.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane

Kwa wakazi wa DSM

Asante
 
Habari zenu ndugu,
Machine ya max malipo imetumika miezi minne inauzwa shillingi laki 450,000/=.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0769852820.

Kwa wakazi wa DSM

Asante

Natamani kujua hii makitu inatumika kwenye nini zaidi ya ambacho naweza kukifanya kwa kutumia simu yangu.
 
Natamani kujua hii makitu inatumika kwenye nini zaidi ya ambacho naweza kukifanya kwa kutumia simu yangu.


Hii ni achine ya fanya miamala yamalipo ya vitu mbalimbali kama bili za maji awasco,LUKU,STAR TIMES,TRA,SMRT TFF,KUUZA VOCHA,MPESA Nakadhalika.
Biashara hii ninzrikwani inampa yule anayefanya kipato kupita kamisheni
UKIUZA:NA KAMISHENI ZAKE
AINA KAMISHENI
LUKU......2.5%
DAWASCO..3%
SMART VOUCHER....5%
TFF TICKECT...SH 200
Star times....2.5%

kiujumla kamishine inategemea na bidhaa unayouza na kadiri unavyofanya miamala mingi ndio kamisheni inavyokuwa kubwa.na hii unalipwa mwishoi wa mwezi
Kwa maelezo zaidi naweza tembelea ofisi zao zipo millennium tower makumbusho DSM

MACHINE WANAUZA SH 674,000/= Na unatakiwa uweke float y mtaji a kuanzia ili uweze kufanya kazi
 
NB Hapo nimeelezea bidhaa chache tu zipo nyingi zaidi ya hizo
 
Asanteni mashine Ishauzwa tayari. Nilisahau kujulisha mapema.
 
Back
Top Bottom