Combine harvester mf 87

Combine harvester mf 87

mmfarming

New Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Tunauza combine harvester Massey ferguson 87. Tumelinunua kutoka Denmark, ambako limetumika kidogo sana, na halijatumika hatakidogo Tanzania. tunliuza kwasababu tunabadili kilimo. tunataka tulime mbogamboga.

  • combine ni zuri sana.

  • limefanyiwa full service.
  • Unalipa pesa zako zote ukivuna ekari 500 tu. ambazo ni msimu mmoja tu.
  • Bei ni milion 44. Lipo Dar es salaam - only serious buyers.

contact.

mickidadi@live.com - owner - not in Tanzania.

0714242879 - supervisor - Nuru/hamadi

see:
combine harvester 87 for sale | Dar es Salaam | Kupatana

Attachments

  • nymf1.jpg
    nymf1.jpg
    15.7 KB · Views: 216
  • IMG-20150813-WA0003[1].jpg
    IMG-20150813-WA0003[1].jpg
    198.2 KB · Views: 328
Hii bei kubwa sana. Kwanza hizi zinazotumia matairi hua hazivuni kwenye maji au tope, wengi hupendelea zenye Chain kama kufaru.

Halafu kwenye maswala ya haya ma harvester kitu KUBOTA ndio mpango mzima. Punguza bei aisee
 
hii bei kubwa sana. Kwanza hizi zinazotumia matairi hua hazivuni kwenye maji au tope, wengi hupendelea zenye chain kama kufaru.

Halafu kwenye maswala ya haya ma harvester kitu kubota ndio mpango mzima. Punguza bei aisee

kwani ww unatumia kwnye mpunga?kwenye ngano inafaa sna hyo
 
Hii bei kubwa sana. Kwanza hizi zinazotumia matairi hua hazivuni kwenye maji au tope, wengi hupendelea zenye Chain kama kufaru.

Halafu kwenye maswala ya haya ma harvester kitu KUBOTA ndio mpango mzima. Punguza bei aisee

Hii Yaki Europe kaka. Nahii siyo yampunga. Inafaa kwa kilimo cha ngano shayiri mtama na vilimo vyengine. Kama Unataka ya bei rahisi. Zipo za kichina nyingi tuu. Lakini hii ni Sawa na Trekta utatumia maisha yako yote. Kuisafirisha tu peke yake kutoka Denmark imetukosti milioni 15. Hii hawezi kuingiza kwenye container. Kuna kuitoa bandarini, bei ya kununulia. Na haijTumika Sana.
 
Nimekuelewa sana Mkuu wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom