richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Weka picha vizuri, piga t-shirt moja tuone hayo maandishi.
Na moja ni Tsh elfu 20 au ni mbili?
Bei mkasi sana kama 1 @20k.
Nataka zile za ukawa
:banplease:
Mkuu na za M4C unazo?
mimi nataka za CCM
Ukivaa inaonekana hiviiiWeka picha vizuri, piga t-shirt moja tuone hayo maandishi.
Na moja ni Tsh elfu 20 au ni mbili?