Hoteli gani nzuri na salama mjini morogoro?

Hoteli gani nzuri na salama mjini morogoro?

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,079
Reaction score
469
Wadau hongereni kwa majukumu.
Naomba kujua ni hoteli gani nzuri pale Morogoro mjini (mji kasoro bahari) ambayo mtu unaweza kupumzika kwa utulivu, usalama wa kutosha na hakuna kero mbalimbali na kwa bei nafuu za vyumba (maximum, chumba cha tsh 30,000 kwa siku)
 
Back
Top Bottom