return of cs
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 130
- 24
Wakuu heshima yenu, kutokana matatzo ya kifedha nmeamua kuuza simu niipendayo LG G3/D855 kwa bei ya 380, 000 tu sawa na bure.nmeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.bdo ni mpya kabisa.hdd16gb, cpu 2.5ghz quad core, 2gb ram, camera 13mp ..alie tayari ani pm