Fremu inapangishwa

Fremu inapangishwa

Mtele

New Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Fremu inapangishwa ipo CHANG`OMBE ,Temeke jirani na njia panda TCC Club na inatazama Chang`ombe Road.
Ina floor tiles na mlango wa Alluminium . Bei ni poa sana. Wasiliana na 0713 689665.
 
We Mtele hembu weka bei,acheni mambo ya Zamani hayo.
Sasa bei Poa ndio nini sasa

Sio kila mtu hadi apige sim,wapunguzieni watu kazi za kumaliza salio lao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom