Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
HABARI wana JF,Kama nilivyosema hapo juu nauza kiwanja kipo maeneo ya kiluvya kwa komba,Chenye UREFU:hatua 46 na UPANA: hatua 20...na kipo mita 90 kutokea morogoro road,pia eneo lina upatikanaji wa maji...hivyo linafaa sana kwa biashara ya ufyatuaji wa matofali kama hauko vizuri kwa ujenzi wa makazi kwa sasa,eneo lipo tambalale na limejengwa chumba kimoja,Bei yake ni mil.9...maongezi yapo pia,KWA ATAKAYEHITAJI TUWASILIANE KWA ''0712269097'' asanteni.