Kiwanja kinauzwa njia panda mji wa Himo

Kiwanja kinauzwa njia panda mji wa Himo

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Habari wana JF, nauza kiwanja kipo maeneo ya njia panda mji wa himo-Kilimanjaro,"Kiwanja No.116","Kitalu F". Kina UREFU:hatua 50 na UPANA:hatua 25,huduma ya maji na umeme inapatikana bila tatizo,hakina vilima kipo tambalale na kipo umbali wa mita 80 kutokea barabara kubwa ya mikoani na eneo limechangamka hivyo linafaa kwa biashara maana lipo opposite na stendi ya mabus,sheli na kuna soko kubwa tu pale na pia umbali kama wa mita 20 ivi kutokea kilipo kuna bank inajengwa maeneo yale,bei ni mil.15/= maelewano yapo pia,kwa atakayehitaji anitafute kwa "0712269097"...

Asanteni.
 
Eneo bado lipo...kwa atakayehitaji...anakaribishwa!
 
Hiyo Bei ni Mzuri. Mm nlipata hapo nyuma ya Petrostation ya Dar Express kwa 5M ila siku mingi kidogo.
 
Kwa wateja,eneo bado lipo jamani.
 
Hiyo Bei ni Mzuri. Mm nlipata hapo nyuma ya Petrostation ya Dar Express kwa 5M ila siku mingi kidogo.

Ndo hivyo mkuu ata mimi pia nilinunua muda kidogo mwaka 2008 kwa mil.3,ata hivyo ramani ya kiwanja kilipo ni hotcake sana ila nimepata tatizo tu limenifanya niweke sokoni hilo eneo maana pale mtu ukipata mkwanja wa kueleweka ukajenga GUEST HOUSE...utapiga hela sana kwa kuwa pale kuna mikusanyiko ya wafanyabiashara wengi tu kutoka mikoani na ndo ilikuwa target yangu hii.
 
Hiko kiwanja ni sqm ngapi?
 
Back
Top Bottom