Msaada: Laptop mpya, keyboard keys mismatch

Msaada: Laptop mpya, keyboard keys mismatch

Risk vs Return

Senior Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
106
Reaction score
71
Tafadhalii sana baada ya kununua niliiwasha ikauliza baadhi ya maswali ikiwemo keyboard layout nikachagua English UK

NADHANI HAPA NDIO NILIKOSEA ,, JE NAWEZAJE KUBADILISHA ILI HIZI KEYS ZI MATCH NA PADS ZAKE ?

" IMEBADILISHANA NA @,,,,, NA HASH IMEBADILISHANA NA £

LAPTOP NI DELL INSPIRON , WINDOW 8.1, 8 GB , 1 TB
 
nenda kwenye toolbar ya chini karibia na saa upande wa kulia,utaona kuna neno limeandikwa ENG, chagua ya USA na sio ya UK, hapo utakuwa umemaliza tatizo,hata mimi nishawahi kutokewa na hilo tatizo nikasaidiwa kwa namna hiyo,all the best
 
badili kuwa US keyboard..... Control Panel then Clock,Language and Region then Change keyboards or other input methods then Change Keyboard then click Add utachagua English(United States) then ukirudi ukiisha add utachagua English (United States) - US
 
Risk vs Return
Keyboards huwa zina layout tofauti tofauti, kwa bongo nyingi zinazokuja zina US layout na njia rahisi ya kutofautisha na za UK, za US zina alama ya @ juu ya namba mbili. Jinsi ya kubadili search neno 'keyboard layout' ndani ya pc kisha fuata maelekezo ya kubadili.

vizeasycut_usersguide_us_keyboard_layout.png

Kama keyboard yako inafanana na hii chagua US layout
 
Last edited by a moderator:
badili kuwa U keyboard..... Control Panel then Clock,Language and Region then Change keyboards or other input methods then Change Keyboard then click Add utachagua English(United States) then ukirudi ukiisha add utachagua English (United States) - US

Shukran sana nimefanikisha
 
Back
Top Bottom