Kama wewe unasumbuliwa Na tatizo la bili kubwa ya umeme fatilia makala zangu;
Zinazo elekeza namna ya kuondoa tatizo hapa jamii forums.
Fatilia makala zilizo anzishwa Na ndugu transistor...
Wadau habarini,
Naulizia, hivi taratibu za kujua mnada wa magari pale bandarini zikoje? Yaan in short, mnada huwa unafanyika baada ya muda gani, na ni vipi unaweza kuyapata hayo magari...
Intel Atom Z520 1.33 GHz
2GB of DDR3L Memory
160 GB Internal Storage
11.6-Inch HD Screen, Intel HD Graphics,
Bluetooth
wireless
web camera
4-30 hour battery life
400k tu
Hp laptop inauzwa at very reasonable price
HDD GB 500
RAM GB 4
Processor AMD E - 350
DVD W
Windows 7 installed
Web camera
Inakaa na charge masaa 6
Price 300,000/=
Bei haipungui
Serious buyer...
Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 kwa 30, kipo dege kigamboni, unaweza kulipa kwa awamu kama huwezi kulipa yote kwa pamoja, kwa mawasiliano zaidi piga 0767098760.
Habari,husika na kichwa cha habari hapoo juu,na tafuta kununua Magunia ya kuwekea korosho kwa bei nzuri,nataka kununua Magunia zaidi ya 1000,mwenye nayo ani pm?,tufanye biashara!
Wana jamvi
Kama kuna mtu ana supply Wines za Dompo, St.Anna na Dodoma at the lowest price ani PM
Pia suppliers wa viroba vya konyagi na za chupa ani PM tuongee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.