Niuzie Apple Macbook Laptop model ya zamani kidogo.

Niuzie Apple Macbook Laptop model ya zamani kidogo.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Macbook core2duo, 250gb Hdd, 2gb ram, nVidia, nk nk nk.
Cha msingi iwe nzima bila tatizo, iwe na betri pia adopter__ inshort iwe inafanya kazi.

Badget yangu laki tatu tu. (300,000/=)

Whatsapp 0757460737
 
Jaribu kuuluzia huenda ukapata, binafsi sina!
 
Macbook core2duo, 250gb Hdd, 2gb ram, nVidia, nk nk nk.

Cha msingi iwe nzima bila tatizo, iwe na betri pia adopter__ inshort iwe inafanya kazi.

Badget yangu laki tatu tu. (300,000/=)

Whatsapp 0757460737

Kwa hizo specs andaa arround 900K-1200K.
 
Mimi nnayo ya kwangu imetumika kiasi lakini ni nzima na nilibadili battery hivi karibuni ila kwa bei hiyo ni bei ya battery niliyonunua. Labda uendelee kutafuta
 
Back
Top Bottom