Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ina umri wa miaka 10.hiko mia 900,inafa kwa upasuaji wa mbao,bei yake ni m 4.5 adi 5.hiko iringa,eneo la boma la ng'ombe,kilolo,kwa mawasiliano 0712237599.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Kuna jamaa yangu kanituma hapa dsm nimuulizie na finaly nimnunulia boss tv ukubwa wa nchi 50 sasa bei zake zimekuwa hazieleweki kitu ambacho kinafanya nisite kumnunulia nisije...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Usiikose hii External HDD yenye entertainment ya Nguvu na ya kushiba. Mpyaaa kabisa kwenye Box lake. Bei: Tsh, 200,000/- tu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji mawasiliano ya mtu anaedili na kuuza na kununua mafriji tufanye biashara......nitafute kwa 0656497469 ama weka namba yako hapa nikutafute
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari, natafuta htc m8 original internal memory 32 gb used,iwe ktk hali nzuri isiwe na michuboko na ubovu wowote.Budget yngu laki 5.mwenye nayo aweke contacts zake ntamtafuta,sihitaji clone...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Natafuta mtu anaeuza gari ya maji ambayo ni nzima au gari ambayo ntaifanya iwe ya biashara ya maji mimi mwenyewe. Kama ntapata canter, Mitsubishi, Isuzu itakua poa au aina engine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta canter ya tani 3 au 2 mwenye nalo anijulishe
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Mwenye canter tipper ndogo ton 2 yenye bei nafuu na bora aweke hapa na bei
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mistubishi canter tani 2 inauzwa bei poa sana 17m tu,ilikuwa inafanya kazi za hotel tu.nauza kwani nataka kununua canter inayopiga tipa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninauza mak 2 1g nzima zaidi ya maelezo njoo na fundi wako kama utakuwa na wasiwasi picha zake ninazo nimeshindwa jinsi ya kuziweka hapa Jf ila kama uko whatsapp nitumie namba yako nichek 0655...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mwenye kuuza screen ya Blackberry Bold 9900(touch screen) ani PM. Au mwenye kujua mahali naweza kupata naomba anifahamishe, nipo Dar es Salaam. Mfano wake huu hapa chini:
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wadau, Naomba yeyote mwenye taarifa ya wapi nitapata engine ya 5a Toyota Sprinter. Nipo Lindi. Naomba nijulishwe na bei. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tigo pesa sh.260 Mpesa sh. 170 Airtel sh. 130 Ni mpya kabisa na logbook zake ukibahatika na matangazo yake 0712191251.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salam, nauza kiwanja changu kipo mbagala, 45 kwa 60, nahitaji milioni 3 tu, tuwacliane kwa namba 0652713522 na 0759272289
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gharama za viwanja ina range kuanzia 2-8million. size zipo kuanzia 906 sq.meters mpk 284 sq.metres. Kupata access ya taarifa zaidi ; check 0657909032 au 0753377881
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu juzi kati nimedondosha simu yangu bahati mbaya imevunjika Screen tachi. Je naweza kuipata wapi na gharama yake ikoje? NB: Simu bado inatumika kama kawaida ila muonekano wake sio mzuri.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
gharama za viwanja ina range kuanzia 2-8million. size zipo kuanzia 906 sq.meters mpk 284 sq.metres. Anayehitaji ni-pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sifa zake kinaswing/ bembea . Kina godoro lake kinavutia sana . Anaweza tumia kwa nzia mtoto mwenye mwezi mmoja hadi mwaka bei ni 150k. Nakupa na godoro bure kina mito minne...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallo Wana-JF Project kubwa yenye uwezo wa Kuzalisha 19M kwa Mwaka, iko sokoni kwa Mauzo/Kupangishwa. Kila Nyumba iko na 2Bedrooms, common toilet for Guests, Spacious Living Room, Kitchen...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya mbezi beach mwenye namba za dalali pls anisaidie,
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Back
Top Bottom